Washtakiwa
watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji dhidi ya mtoto Nasra Rashid
Mvungi, wamelazimika kubadilishiwa hakimu baada ya hakimu wa awali,
kupata dharura na kutokuwepo mahakamanani hapo.
Washtakiwa hao ambao kesi yao imekuwa ikifikishwa na kutajwa, mbele
ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro,
Mary Moyo, walilazimika kupandishwa kizimbani
↧