Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amesema kuwa anataka na anatamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania
kuongoza nchi ambayo ni maskini na hivyo atatumia muda wake uliobakia
katika uongozi kuelekeza nchi kwenye mwelekeo huo.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa jambo la msingi kabisa la kama
Watanzania watanufaika na ugunduzi wa gesi asili ama
↧