Mtoto wa rais wa kike wa Marekani, Malia Obama mwenye umri wa miaka
16 alimpiga/alimgonga kwa bahati mbaya msichana aliyefahamika kwa jina
la Bridget Truskey walipokuwa katika tamasha kubwa la muziki la
Lollapalooza nchini Marekani.
Msichana huyo amewashangaza watu baada ya kuonesha kufurahishwa sana na tukio hilo kutokana na umaarufu wa Malia Obama.
Truskey ametweet
↧