Ushindani kati ya Diamond na Ali Kiba ambao siku zote mimi nauita
‘ushindani usio rasmi’ huku wengine wakiutafsiri kama ‘beef’
umetengeneza mitazamo tofauti kati ya wadau wa muziki Tanzania.
Hivi karibuni, G-Lover alitoa mtazamo wake kuhusu tofauti iliyopo kati yao huku akimpa credit kila mmoja.
Akiongea na Fadhili Haule katika Sunrise ya 100.5 Times Fm, Nay wa
Mitego
↧