Kundi
la waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wanaokadiriwa kuwa zaidi ya
100 , wamevamia kituo cha Polisi cha kata ya Kiroka wilaya ya Morogoro
mkoani Morogoro na kuzusha vurugu.
Hatua hiyo inadaiwa imetokana na kuchoshwa na vitendo vya uonevu
wanavyofanyiwa na askari wa kituo hicho vya kuwakamata na kuwageuza
kitega uchumi wanapokuwa hawana makosa.
Mmoja wa wakazi wa kata
↧