Shemeji wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aman
Abedi Karume, Mansour Yussuf Himid, anaendelea kusota rumande baada ya
jana kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga kumiliki silaha
kinyume na sheria.
Masour alifikishwa mbele ya Hakimu Khamis Ramadhan Abdallah wa mahakama
hiyo jana chini ya ulinzi mkali wa polisi na usalama wa taifa na
kusomewa mashtaka
↧