Mwimbaji wa kike aliyepiga hatua kubwa hivi karibuni na kusainiwa na
kampuni ya kubwa ya Afrika Kusini NFZ, Linah alifanya mahojiano
exclusively na Times Fm na kufunguka zaidi kuhusu mambo muhimu
katika muziki wake.
Linah alizungumzia masuala muhimu yanayohusu muziki wake. Jinsi
alivyofanya kazi na kundi la Uhuru ‘Ole Themba’ na alivyojipanga
kulikabili soko la kimataifa.
↧