Taarifa za maandilizi ya talaka kati ya wanandoa Jay Z na Beyonce
zimendelea kuandikwa na vyombo vikubwa vya habari ambavyo huaminika sana
nchini Marekani na Uingereza.
Taarifa hizo zinazotolewa na vyanzo vya karibu zinaeleza kuwa
wanandoa hao wameshatengana hata vyumba vya kulala wakati wakiwa
wanaendelea na tour yao.
Hata hivyo, Beyonce amekuwa kimya huku akitumia lugha
↧