Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson anadaiwa kukinukisha
nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa
mtu, Moses Peter Iyobo a.k.a Moze Iyobo ambaye ni densa wa Nasibu Abdul
‘Diamond’.
Habari zisizokuwa na shaka zinadai kwamba tukio hilo lilijiri
Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Kijitonyama, Dar ambapo Aunt
alisababisha tafrani
↧