Mama Ajifungua Watoto WANNE Katika Hospitali 2 kwa siku 2 Tofauti mkoani Mwanza
MKAZI wa Kijiji cha Lupili wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Tecla Kazimili (24), amejifungua watoto wanne, watatu wa kike na mmoja wa kiume kwa njia ya kawaida katika hospitali mbili tofauti na siku...
View ArticleNora APANGUA Tuhuma za Kuchoropoa Mimba
Msanii aliyewahi kutamba miaka ya nyuma na kundi la Kaole Nuro Nassoro 'Nora' ameamua kufunguka baada ya tuhuma nzito iliyokuwa inamkabili ya kudaiwa kuchoropoa mimba ya...
View ArticleAli Kiba: Lulu Michael anafaa kuwa MKE.....Ammwagia Misifa ya kushangaza
Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anafaa kuwa mke (wife material) huku...
View ArticleMwanamke Aliyejeruhiwa kwa bomu la polisi akatwa kiganja cha mkono wa Kulia
Mkazi wa Mbagala Zakhiem, Mwanaharusi Hamis amepoteza kiganja chake cha mkono wa kulia baada ya kulipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu lililorushwa na polisi wakati wakitawanya wananchi....
View ArticleRais Kikwete na Marais 46 Afrika wakutana na Rais Obama
RAIS Jakaya Kikwete yuko Marekani kwa ziara ya siku tisa nchini humo ambako miongoni mwa mambo mengine, atahudhuria Mkutano wa Kwanza wa Kihistoria wa Viongozi wa Bara la Afrika na Marekani...
View ArticleHeche AMLIPUA January Makamba.....Asema Hana SIFA za kugombea Urais 2015
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Bw. John Heche, amemtaka Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bw. January Makamba ambaye pia ni Mbunge wa...
View ArticleMashoga na Wasagaji kutoka Kenya, Uganda wakutana jijini Dar es Salaam katika...
MASHOGA kutoka nchi tatu za Afrika Mashariki wamekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam, zinasema mashoga hao walikutana juzi katika Ukumbi wa...
View ArticleRais Karume amfuata shemeji yake mahabusu....Ni Mansour Yussuf Himid...
Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yusuph Himid akiwa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar juzi, baada ya kukamatwa nyumbani kwake, Chukwani kwa tuhuma za kumiliki silaha...
View Article"Siwezi kujadili upuuzi huu" asema Rais Kikwete kuhusu tetesi kuwa alimuokoa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sina muda kujadili upuuzi huu kuhusu Ridhiwani – Rais Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni mkusanyiko...
View ArticleVideo 3 za Maisha ya kifahari ya mfanyabiashara Alex Massawe anayetafutwa na...
Dola za Kimarekani, magari ya kifahari, mijengo yenye hadhi ya mahekalu ndio maisha ya mfanyabiashara maarufu kutoka Tanzania, Alex Massawe anayetafutwa na polisi wa kimataifa, Interpol. Video...
View ArticleAgnes Masogange apata uraia wa Afrika kusini na kubadili jina, sasa aitwa...
Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko!...
View ArticleVilio na machozi vyawatawala wachezaji wa Taifa Stars baada ya kufungwa,...
Mchezaji wa Taifa Stars, Shomari Kapombe akilia kwa uchungu baada ya Stars kupoteza nafasi ya kucheza hatua ya makundi kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Afrika 2015. ************* Timu ya soka ya...
View ArticleBibi wa mjini Songea ajitengenezea jeneza ili akifa azikwe nalo
Bibi Scholastica akiwa kwenye jeneza alilojiandalia ****************** Mkazi mmoja wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma,Bibi Scholastica Mhagama amesema miaka mingi...
View ArticleUingereza kuanzisha benki ya mbegu za kiume
Nchi ya Uingereza imeanzisha benki ya taifa ya mbegu za kiume inayotarajiwa kuondokana na tatizo la upungufu wa mbegu hizo. Wapenzi wa jinsia ya kiume na kike , wale wa jinsia moja pia wanawake wasio...
View ArticleVideo: Mwanamke avua nguo na kubaki UCHI mbele ya sanamu ya hayati Nelson...
Kisa cha mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini aliyevua nguo zote na kubaki Uchi kama alivyozaliwa na kusimama mbele ya sanamu kubwa ya hayati Nelson Mandela, kimewaacha wapita njia na majirani...
View ArticleBodi ya mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa Kauli kuhusiana na Kucheleshwa...
Bodi ya mkopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania (HESLB) inashughulikia tatizo la wanafunzi wanaokwenda kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo ikiwa na baada ya kulalamikiwa na jumuiya ya wanafunzi wa Elimu...
View ArticleKikongwe wa Miaka 80 Aishi kwa Kula Udongo
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha sana, kikongwe mmoja aitwaye Athuman Ngusa Kulaba (80) amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi kwa sababu ya kukosa chakula cha kibinadamu....
View ArticleMume Wangu Kampa MIMBA Mbwa wetu......Nilimfumania mimi mwenyewe kwa macho...
Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Cecilia Hamis (pichani), mkazi wa Majoe Mjimpya Relini jijini Dar es Salaam amemlalamikia mumewe aliyemtaja kwa jina la Hamis Juma kwamba ametembea na mbwa...
View ArticleTrafiki FEKI Aibua Mazito.....Akutwa na Leseni 40, Radio Call na Pea 7 za...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana imelitolea ufafanuzi sakata la kukamatwa kwa askari 'feki' wa Kikosi cha Usalama Barabarani (trafiki), katika kata ya Chamazi, Mbagala Majimatitu,...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View Article