Dola za Kimarekani, magari ya kifahari, mijengo yenye hadhi ya mahekalu
ndio maisha ya mfanyabiashara maarufu kutoka Tanzania, Alex Massawe
anayetafutwa na polisi wa kimataifa, Interpol.
Video iliyowekwa kwenye mtandao wa Instagram inamuonesha
mfanyabiashara huyo akiendesha gari la kifahari lenye thamani ya dola
120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 200.
“Hello guys you can
↧