Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la
Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake
Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko!
Kupita Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata’ alianza kwa kupost
picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata
uraia mpya wa nchi hiyo.
Kuthibitisha kile
↧