Mchezaji wa Taifa Stars, Shomari Kapombe akilia kwa uchungu
baada ya Stars kupoteza nafasi ya kucheza hatua ya makundi kuwania
nafasi ya kucheza Kombe la Afrika 2015.
*************
Timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana iliondolewa rasmi
kwenye michuano ya kuwania kufuzu kucheza kombe la mataifa ya Afrika
mwaka 2015 kwa kufungwa mabao 2-1 na Msumbiji aka The Mambas.
↧