Bibi Scholastica akiwa kwenye jeneza alilojiandalia
******************
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea
Mkoa wa Ruvuma,Bibi Scholastica Mhagama amesema miaka mingi ameishi
maisha ya dhiki na kunyanyaswa bila msaada kutoka kwa jamii anayoishi hali
ambayo imemfanya amuombe Mungu amchukuwe ili azikwe kwenye jeneza
alilojiandalia.
“Kila siku naomba
↧