Nchi ya Uingereza imeanzisha benki ya taifa ya mbegu za kiume inayotarajiwa kuondokana na tatizo la upungufu wa mbegu hizo.
Wapenzi wa jinsia ya kiume na kike , wale wa jinsia moja pia wanawake
wasio na wenza watanufaika na huduma hii mpya ambapo kutoka jamii
zisizofahamika watakuwa na uwezo wa kuchagua wachangiaji kutoka katika
jamii nyingine...
Benki hii itakayosimamiwa na mfuko
↧