TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Sina muda kujadili upuuzi huu kuhusu Ridhiwani – Rais Jakaya Kikwete
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amesema kuwa ni mkusanyiko wa upuuzi mtupu madai kuwa yeye Rais
alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ambaye alikuwa amekamatwa na madawa ya
kulevya
↧