Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yusuph
Himid akiwa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar juzi, baada ya kukamatwa
nyumbani kwake, Chukwani kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume na
sheria.
*********
RAIS mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, jana alifika katika
Kituo Kikuu cha Polisi Mwembe Madema mjini Zanzibar, kumtembelea shemeji
yake, Mansour Yussuf
↧