MASHOGA kutoka nchi tatu za Afrika Mashariki wamekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.
Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam, zinasema mashoga hao
walikutana juzi katika Ukumbi wa Kivukoni 3 ulioko katika Hoteli ya
Serena na kuwashirikisha wasichana wanaofanya mapenzi kinyume na
maumbile.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, mashoga hao wapatao 50 walitoka katika nchi za Kenya
↧