Irene Uwoya afanya kituko.....Apiga picha za nusu Uchi na kuzitundika...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii mkubwa wa bongo movie, Irene Uwoya ametupia picha mtandaoni akiwa hana nguo ya juu kiasi cha kutafsiriwa vibaya na mashabiki wake...
View ArticleLulu Michael kawa Mtamu balaaa....
Mcheza Filamu maarufu nchini Elizabeth Michael 'Lulu' ameonekana kwenye mtadao wa Instagram akiwa ametupia picha zake zenye muonekano wa kunoga, kaiva, kawa mtamu balaa.. Picha...
View ArticleRose Ndauka: Jiheshimu ili Uheshimike
Mkali wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa katika maisha yake amejiwekea utaratibu wa kujiheshimu ndio maana anaheshimika na watu wa kila rika , tofauti na ilivyokuwa...
View ArticleJustin Bieber anasa mrembo huyu baada ya kurushiana makonde na Orlando kwa...
Mwimbaji Justin Bieber ambaye jana alitawala vichwa vya habari baada ya kurushiwa makonde na muigizaji Orlando Bloom kwa ajili ya mrembo Miranda Kerr, ameonesha jinsi alivyo na kisu kirefu zaidi kwa...
View ArticleLady Jay Dee kuwasili Dar August 3 akitokea Marekani na tuzo ya AFRIMMA
Anaconda, Lady Jay Dee ambaye ameshinda tuzo ya AFRIMMA kama mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki atatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, August 3 mwaka huu...
View ArticleDiva kwa GK: You are the most romantic, the most perfect husband taken by...
FAIDA kubwa mwanaume anaweza kupata akidate na Loveness Diva ni promo za kutosha mbele ya followers wake kwenye mitandao ya kijamii. Ukimtoa Mo Rocka, huenda GK akawa boyfriend wa mtangazaji huyo wa...
View ArticleTido Mhando akabidhi ofisi baada ya kumaliza mkataba wake na Mwananchi (MCL)
Francis Nanai (kulia) na Tido Mhando (kushoto) wakati wa makabidhiano Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited(MCL), Tido Mhando jana (July 31) amekabidhi ofisi baada ya...
View ArticleNafasi za Mafunzo ya Utengenezaji wa Mashine za kutotoresha Vifaranga Vya Kuku
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINJI inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA WA...
View ArticleUganda yalegeza Masharti ....Yafuta sheria dhidi ya ushoga ambayo...
Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada. Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu...
View ArticleWatuhumiwa 19 wa UGAIDI Wapandishwa kizimbani jijini Arusha
WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu jijini Arusha leo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi na kusomewa mashitaka ya mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi huku wakitakiwa kutojibu...
View ArticleNyumba zaidi ya 700 zateketezwa kwa moto Tabora
Jumla ya kaya 366 hazina mahala pa kuishi baada ya nyumba zao zipatazo 785 ambazo zinaitwa mabanda, pamoja na mabanda ya tumbaku 118, kuchomwa moto na magunia zaidi ya 600 kuteketezwa,katika kile...
View ArticleWimbo mpya wa Nicki Minaj ‘Anaconda’ unaotarajiwa kutoka rasmi Agosti 4...
Wiki hii Nicki Minaj alitangaza kusogeza mbele tarehe ya kutoa single yake mpya iitwayo ‘Anaconda’ ambayo hapo awali ilipangwa kutoka Jumatatu ya Julai 28, na sasa itatoka Jumatatu ya Agosti 4....
View ArticleChris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!
Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown...
View ArticleTaarifa kwa Umma kuhusu Kuchukua TAHADHARI Dhidi ya Ugonjwa wa Ebola
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA Mnamo mwezi wa Machi 2014 Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilipokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu ugonjwa wa...
View ArticleUKAWA Wafunga Mjadala......Wasisitiza hawatarudi bungeni
KAMA ndivyo, huenda Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza awamu ya pili ya vikao vyake keshokutwa mjini Dodoma, litafanyika bila ya kuwa na wajumbe kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi...
View ArticleAskofu Kakobe: Ninaunga mkono Ukawa kususia Bunge la katiba
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe ameongeza chumvi katika Mchakato wa Katiba kwa kueleza kuwa anaunga mkono msimamo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...
View ArticleShambulio la Israel katika shule ya UN Palestna Laua Watu 10
Baadhi ya majeruhi katika shambulio hilo wakipatiwa huduma ya kwanza. Mpalestina huyu akijaribu kuokoa maisha ya mtoto baada ya kushambuliwa na Israel leo. Mmoja wa majeruhi katika shambulio hilo...
View ArticleAskari FEKI Mwingine wa Usalama barabarani Anaswa jijini Dar
Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama...
View ArticlePICHA: Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 na Gari Jipya...
Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia...
View ArticleBunge la katiba kuanza Kesho bila UKAWA
BUNGE Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...
View Article