FAIDA kubwa mwanaume anaweza kupata akidate na Loveness Diva ni promo za kutosha mbele ya followers wake kwenye mitandao ya
kijamii.
Ukimtoa Mo Rocka, huenda GK akawa boyfriend wa mtangazaji huyo wa
Clouds FM aliyewahi kumwagiwa jumbe za mahaba kuwazidi hata Prezzo na Mr
Anonymous aka mwanasiasa! Katika muendelezo wake wa kuutangazaji
ulimwengu jinsi anavyojisikia kuwa ‘first lady’
↧