Anaconda, Lady Jay Dee ambaye ameshinda tuzo ya AFRIMMA kama
mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki atatua katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, August 3 mwaka huu
akitokea Marekani.
Akiongea na mwandishi, meneja wa Lady Jay Dee, Captain
Gardener G. Habash amesema kuwa mwimbaji huyo anatarajia kuondoka
Houston, Marekani August 1 na kuingia Dar es Salaam
↧