Mwimbaji Justin Bieber ambaye jana alitawala vichwa vya habari baada
ya kurushiwa makonde na muigizaji Orlando Bloom kwa ajili ya mrembo
Miranda Kerr, ameonesha jinsi alivyo na kisu kirefu zaidi kwa watoto
wazuri.
Bieber ameonekana akila bata kwenye yacht katika eneo la Ibiza na mrembo wa Australia anaefahamika kwa jina la Shanina Shaik.
Shanina Shaik ambaye ni mwanamitindo
↧