Mkali wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa katika maisha yake amejiwekea utaratibu wa kujiheshimu ndio maana anaheshimika na watu wa kila rika , tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma alipokuwa anakumbwa na skendo za mara kwa mara....
Akizungumza na mwandishi, Ndauka alisema kuwa akili aliyonayo sasa ni ya kikubwa na anaangalia malezi
↧