Francis Nanai (kulia) na Tido Mhando (kushoto) wakati wa makabidhiano
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications
Limited(MCL), Tido Mhando jana (July 31) amekabidhi ofisi baada ya
kumaliza mkataba wake wa miaka miwili na nusu na kampuni hiyo.
Nafasi ya Mhando sasa imechukuliwa na Francis Nanai ambaye hapo kabla
alikuwa Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa MCL (CEO) tangu
↧