Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna.
Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris
Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali
‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch
off button’ yao kwa mara nyingine.
Ripoti zinasema
↧