TAARIFA KWA
UMMA KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA
Mnamo mwezi wa Machi 2014 Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii ilipokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu ugonjwa wa
Ebola katika nchi za Afrika Magharibi ambao ulianzia katika ya Guinea na
kusambaa katika nchi za Siera Leone, Liberia na Nigeria. Hadi tarehe 31 Julai, 2014 idadi ya wagonjwa ilikuwa 1323
na
↧