Wiki hii Nicki Minaj alitangaza kusogeza mbele tarehe ya kutoa single
yake mpya iitwayo ‘Anaconda’ ambayo hapo awali ilipangwa kutoka Jumatatu
ya Julai 28, na sasa itatoka Jumatatu ya Agosti 4.
Lakini jana single
hiyo imevuja na kuanza kusambaa mtandaoni japo ikiwa na ubora mdogo
(LQ). Isikilize hapa.
↧