Jumla
ya kaya 366 hazina mahala pa kuishi baada ya nyumba zao zipatazo 785
ambazo zinaitwa mabanda, pamoja na mabanda ya tumbaku 118, kuchomwa moto
na magunia zaidi ya 600 kuteketezwa,katika kile kilichodaiwa kuwa
walikuwa wakiishi ndani ya hifadhi za Usoke, Igombe na Ugala, wilayani
Urambo mkoani Tabora kinyume cha sheria.
Wakizungumza kwa masikitiko walipohifadhiwa na wananchi
↧