BUNGE Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, ambaye ndiye Mratibu wa Bunge hilo, alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa
↧