Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa
harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi.
Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi
yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali
pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine.
Kwa mujibu wa JB aliyehudhuria harusi hiyo,
↧
PICHA: Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 na Gari Jipya baada ya kufunga ndoa
↧