MAUAJI: Watoto wadaiwa kumnyonga mwenzao wa miaka mitatu
Wakazi wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto Omary Hamis mwenye umri wa mitatu, kisha...
View ArticlePicha 4 za Kimahaba za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz
Wema Akiwa na SHEMEJI yake ndani ya pozi matata
View ArticleAjali ya Basi Yaua Watu 20 Mkoani Dodoma
Takribani watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la...
View ArticleRais Kikwete Atunukiwa Tuzo Nyingine ya Kimataifa......Tuzo hiyo ni ya kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika 2014 – Icon...
View ArticleMisukule ya Gwajima Yatinga Polisi.....Ndugu, Wazazi kuitwa ili kuthibitisha...
Baada ya hivi karibuni kutoa waraka mzito unaowalenga watumishi wa mungu kwa kile alichodai kuwa ni ukiukwaji wa sheria za mungu, Nabii Hosea Chamungu ametangaza rasmi...
View ArticleHuddah Monroe AMZIMIKIA Ali Kiba
Ujio mpya wa Ali Kiba ulikuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake ambao wanaoenesha kumpokea kwa mikono miwili tangu alipotambulisha nyimbo zake mbili ‘Mwana na Kimasomaso’, ingawa Mwana imeonekana...
View ArticleChris Brown yuko hatarini, Majirani wapya watishia kumpiga risasi
Mwimbaji wa Loyal, Chris Brown ambaye alitoka jela hivi karibuni na kuamua kutafuta amani kwa kuhama nyumba aliyokuwa akiishi kukwepa ugomvi na majirani zake ni kama ameruka majivu na kukanyaga moto....
View ArticleLady Jay Dee awashukuru mashabiki baada ya kupokea tuzo ya AFRIMMA
Lady Jay Dee ameipokea tuzo ya AFRIMMA ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki siku mbili baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo. Baada ya kuishika mkononi tuzo hiyo ambayo inakuwa tuzo yake ya...
View ArticleUbora hafifu wa Elimu Wakwamisha AJIRA Kwa Wahitimu wa Vyuo...
Ubora hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
View ArticleANGALIZO: Simu za Mkononi na Komputa hupunguza nguvu za Kiume
Watanzania wametakiwa kuwa makini wanapotumia simu na kompyuta, kwani ndio chanzo cha matatizo mbalimbali yakiwemo ya kutoona, kutosikia, upungufu wa nguvu za kiume na vifo. Mshauri wa masuala ya...
View ArticleWema Sepetu Aanika Ugomvi wake na Mama Yake Mzazi.....Asema chanzo ni mama...
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga...
View ArticleMfanyakazi wa Ndani ( Hausigeli ) anusurika kufa baada ya kukatwakatwa...
Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) amenusurika kuuawa na mwajiri wake aliyetambulika kwa jina la Emmanuel Msovera ambaye ni kondakta wa Hiace, baada ya kushambuliwa kwa kipigo na...
View ArticleMajina ya Wanaopiga Mabomu Arusha Kuanikwa Hadharani
Watuhumiwa wa mabomu katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, watawekwa hadharani hivi karibuni ikiwa ni pamoja na umma kuelezwa kilichotokea na waliowatuma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema hayo...
View ArticleFahamu alichoamua Kingwendu baada ya mkewe KUBAKWA akiwa amelewa
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika wakati mgumu baada ya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa pombe. Baada ya jitihada nyingi za kumtafuta...
View ArticleAJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 tu za kazi TBS LEO
Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu. Usaili huo unataka kufanana na ule wa Idara ya Uhamiaji...
View ArticleLowassa: Sifadhili ACT-Tanzania.....Asema ni Upuuzi kuhusishwa na chama hicho...
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema hatua ya kuhusishwa kwake na Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) ni upuuzi na mwendelezo wa mikakati ya kumchafua. Kauli ya...
View ArticleUKAWA wakutana na Waandishi wa habari.....Wasistiza Kutorejea Bungeni ,...
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),umesema umesikitishwa na kauli za baadhi ya viongozi wa dini zilizotolewa wakati wa baraza la Iddi za kuwataka warejee katika bunge maalum la katiba huku viongozi...
View ArticleRais Kikwete ahutubia Taifa mwisho wa Mwezi Julai, 2014 .....Ashangaa...
Utangulizi Ndugu wananchi; Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kuzungumza na taifa juu ya masuala muhimu yanayohusu...
View ArticleNisha: Sijaona mwanaume wa kunipa MIMBA
Msanii wa Filamu za kibongo Salma Jabu 'Nisha' amedai kuwa hamjui mwanaume atakayeweza kuitwa baba wa watoto wake kwani kila mwanaume anayemtaka kimapenzi huwa haamini kama...
View ArticleBatuli: Nasaka Mwenye Pesa atakayekuwa tayari kunilipia Ada ya uhudumu wa Ndege
BATULI amesema kuwa anahitaji kwenda kusomea uhudumu wa ndege lakini anashindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kubanwa na maisha, lakini endapo atapata mtu wa kumlipia ada yupo...
View Article