Muigizaji wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika
wakati mgumu baada ya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa
pombe.
Baada ya jitihada nyingi za kumtafuta Kingwendu, hatimaye mwandishi alifanikiwa kumpata na kukiri kuwa alizipata habari hizo wakati
ambapo yuko safarini na majirani walimueleza kilichotokea kuwa mkewe na
jirani huyo aliyembaka
↧