Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47
zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.
Usaili huo unataka kufanana na ule wa Idara ya
Uhamiaji ambao ulihusisha waombaji 10,000 waliokuwa wakiwania nafasi 70,
utafanyika leo na kesho katika Ukumbi wa Yombo wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam.
Ili kuepuka kuchaguliwa kwa waombaji wenye
↧