Watuhumiwa wa mabomu katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, watawekwa hadharani hivi karibuni ikiwa ni pamoja na umma kuelezwa kilichotokea na waliowatuma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema hayo juzi alipokuwa akihutubia sherehe za Baraza la Idd jijini Dar es Salaam.
Alisema ingawa hatua za kisheria zinaendelea kwa baadhi ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani na kufunguliwa kesi,
↧