Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) amenusurika kuuawa na
mwajiri wake aliyetambulika kwa jina la Emmanuel Msovera ambaye ni
kondakta wa Hiace, baada ya kushambuliwa kwa kipigo na kukatwakatwa
mapanga mwilini.
Fonolia ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Mount-Meru,
jijini Arusha, amejeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wa
kushoto na maeneo
↧