Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu
zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu
kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa
akiupinga mara kwa mara.
Akiongea na mwandishi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa
akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na
Diamond lakini anamshukuru Mungu
↧