Msanii wa Filamu za kibongo Salma Jabu 'Nisha' amedai kuwa hamjui mwanaume atakayeweza kuitwa baba wa watoto wake kwani kila mwanaume anayemtaka kimapenzi huwa haamini kama anaweza kutimiza hilo katika maisha yake ya mapenzi.....
Nisha alisema hivi sasa ni mapema sana kuwa na mawazo ya namna hiyo kwani bado anatafakari, na kudai hawezi
↧