BATULI amesema kuwa anahitaji kwenda kusomea uhudumu wa ndege lakini anashindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kubanwa na maisha, lakini endapo atapata mtu wa kumlipia ada yupo tayari kuachana na filamu na kwenda kusoma.
Mrembo huyo akizungumza na mwandishi hivi karibuni aliweka wazi ishu hiyo kwa madai kwamba anahitaji kutimiza ndoto yake juu
↧