Utangulizi Ndugu wananchi;
Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa
kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kuzungumza na
taifa juu ya masuala muhimu yanayohusu nchi yetu. Mwezi wa Saba
tunaoumaliza leo ulikuwa na matukio mengi baadhi yakiwa makubwa na
kushtusha na mengine yalikuwa matukio ya kawaida.
Mashambulio ya Mabomu Ndugu Wananchi;
↧