Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),umesema umesikitishwa na kauli
za baadhi ya viongozi wa dini zilizotolewa wakati wa baraza la Iddi za
kuwataka warejee katika bunge maalum la katiba huku viongozi hao
wakinyamaza bila ya kukemea matendo yaliyosababisha wajumbe wa umoja huo
kususia vikao vya bunge hilo.
Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa umoja huo, Mwenyekiti wa chama
cha
↧