Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Ajali ya Basi Yaua Watu 20 Mkoani Dodoma

$
0
0
Takribani watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo.  Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma huku wengine wakipelekwa Hospitali ya Mpwapwa.        

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles