Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara
nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la
Nyota wa Demokrasia Afrika 2014 – Icon
of Democracy Award Winner for 2014 in Africa.
Kwa
mujibu wa barua aliyoandikiwa Rais Kikwete na kupokelewa Ikulu, Dar Es Salaam,
Rais Kikwete amekuwa mshindi wa kwanza, na kwa mbali kabisa,
↧