Baada ya hivi karibuni kutoa waraka mzito unaowalenga watumishi wa mungu kwa kile alichodai kuwa ni ukiukwaji wa sheria za mungu, Nabii Hosea Chamungu ametangaza rasmi kuiwasilisha ripoti ya misukule feki mikononi mwa jeshi la polisi ili hatua za kisheria zichukuliwe....
Akiongea kwa kujiamini, Nabii Cha Mungu alimuonyesha mwandishi baadhi ya
↧