Ujio mpya wa Ali Kiba ulikuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake
ambao wanaoenesha kumpokea kwa mikono miwili tangu alipotambulisha
nyimbo zake mbili ‘Mwana na Kimasomaso’, ingawa Mwana imeonekana kupenya
zaidi.
Mrembo wa Kenya aliyewahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa, Huddah
Monroe aka The BossChick alikuwa mmoja kati ya mashabiki wa dhati
walioimiss sauti ya Ali Kiba na
↧