Mwimbaji wa Loyal, Chris Brown ambaye alitoka jela hivi
karibuni na kuamua kutafuta amani kwa kuhama nyumba aliyokuwa akiishi
kukwepa ugomvi na majirani zake ni kama ameruka majivu na kukanyaga
moto.
Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo aliamua kuuza nyumba yake ya
kifahari iliyokuwa Hollywood Hills kufuatia ugomvi wa kila siku na
majirani zake waliomfikisha kwenye vyombo vya sheria mara
↧