Ubora hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imekiri kwamba rejea mbalimbali za waajiri zinaonesha upo upungufu katika ubora wa wahitimu kiasi cha kutoajirika, jambo ambalo imesema haiwezi kulinyamazia.
“Rejea mbalimbali za waajiri
↧