Lady Jay Dee ameipokea tuzo ya AFRIMMA ya mwimbaji bora wa
kike Afrika Mashariki siku mbili baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo
hiyo.
Baada ya kuishika mkononi tuzo hiyo ambayo inakuwa tuzo yake ya 30,
Jide aka Commando amewashukuru mashabiki wake kwa ushiriano waliouonesha
kwake.
“Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi
nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya
↧