Makanisa Yanayoendekeza Vurugu Kufutiwa USAJILI Wake
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema yeye mwenyewe atayafuta makanisa yote yanayoleta vurugu na uvunjifu wa amani kwa kuwa hayatoi taswira ya kile wanachopaswa kufanya na ni aibu...
View ArticleWanafunzi Watano WALAWITIWA Kwa Mpigo na Mwenzao
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la sita kwa tuhuma nzito ya kuwalawiti wenzake watano kwa mpigo. Tukio hilo la kusikitisha...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 28 July 2014
Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 28 July 2014
View ArticleShule kuwatimua Watumia VIPODOZI na Wavaa MILEGEZO
Shule ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni....
View ArticleDk Slaa aibua upya sakata la viungo vya maiti vilivyotupwa.....Amtaka Waziri...
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es...
View ArticleMke wa Kingwendu Abakwa.....
MKE wa Kingwendu ambaye ni muigizaji maarufu wa filamu za vichekesho nchini amefanyiwa kitendo kibaya cha ubakaji na mwanaume aliyefahamika kama Upunguvuku katika pagala moja...
View ArticleHongera Ray C: Video Queen wa wimbo wa Ice Cream aanza kupona UTEJA...
Mrembo Doreen aliyekuwa video Queen wa wimbo uliotokea kutamba miaka ya nyuma wa Ice Cream ulioimbwa na Haji Nura 'Noorah' akimshirikisha Suma Lee ameanza kurejea katika hali...
View ArticlePicha Tatu za Bahati Bukuku akiwa Hospitalini baada ya kupata Ajali mbaya ya...
Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako Bukuku ameumia mgongo na maeneo kadhaa ya mwili (nusu kifo) kiasi cha kushindwa kukaa, kusimama wala kutembea kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea...
View ArticleMitambo na Ving'ora katika Tawi la Stanbic Bank Kariakoo Vyawakurupusha...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanzisha msako mkali wa kuwatafuta majambazi watano ambao jana tarehe 27/7/2014 saa 8.00 mchana walifika katika benki ya Stanbic Tawi la Kariakoo lililoko...
View ArticleSikukuu ya IDD: Ulinzi Waimarishwa jijini Dar.....FFU, Polisi Wanamaji,...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka mikakati ya mpango kazi kama ifuatavyo:- 1. Limepanga kushirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ikiwa ni pamoja na Kikosi cha...
View ArticleMajambazi 10 HATARI Wakamatwa na Bunduki 8.....Mmoja ni mwanamke anayejua...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata mtandao hatari wa majambazi wapatao kumi (10) mmoja wao akiwa ni mwanamke anayeshiriki kikamilifu wakati wa matukio ya ujambazi....
View ArticleBreaking News: Sakata la Viungo vya binadamu kutupwa.....Viongozi wa Chuo na...
Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) na baadaye kuwaondolea mashitaka kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashtaka ya...
View ArticleBaba Awacharaza Viboko Walimu Wawili wa Shule ya Msingi Mkoani...
Vitendo vya baadhi ya wazazi, kudhalilisha walimu vinaendelea, ambapo mzazi mmoja Selemani Juma, amewashambulia walimu wawili kwa viboko. Amefanya hivyo kupinga mwanawe kurudishwa nyumbani, akashone...
View ArticleUchaguzi CHADEMA: Dr. Slaa, Mbowe kutetea Nafasi Zao
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa rasmi ratiba yake ya uchaguzi wa ndani, ambapo viongozi wa taifa wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti na katibu mkuu wapya wanatarajiwa kutangazwa...
View ArticleSangoma Amfyeka Nyeti Mtoto wa Mwaka Mmoja na Kutoweka Nayo
Ni jambo lililowaacha midomo wazi madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam ambapo mtoto Almasi mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi (pichani akiwa na...
View ArticleSwala ya Eid El Fitr Yaswaliwa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar Leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar...
View ArticlePicha za Rais Kikwete katika Swala ya Eid El Fitr jijini Dar es Salaam
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa...
View ArticleAskofu: Waziri Chikawe hana ubavu wa kulifunga Kanisa la Moravian
Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian nchini, Alinikisa Cheyo amesema Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe hana ubavu wa kulifuta kanisa lake. Cheyo alitoa kauli hiyo jana ikiwa ni siku moja...
View ArticleUPDATE: Taarifa ya kusitishwa kwa Ajira za Konstebo na Koplo wa Uhamiaji...
Baadhi ya Vyombo vya Habari leo tarehe 29 Julai, 2014 vimeandika kwa makosa kuwa ajira za Uhamiaji zilizositishwa jana zinahusiana na 70 zilizopatikana baada ya usaili uliofanyika katika Uwanja wa...
View Article