Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya
na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la
utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam.
Akizungumza katika hafla ya kuuaga uongozi wa
Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chadema (Chaso) na kufungua Tawi la
Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Muhimbili (Muhas) jana,
↧