Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako Bukuku ameumia mgongo
na maeneo kadhaa ya mwili (nusu kifo) kiasi cha kushindwa kukaa,
kusimama wala kutembea kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea kwenye
eneo la Ranchi ya Narco wilayani Kongwa, Dodoma saa tisa usiku wa
kuamkia Jumamosi.
Katika ajali hiyo ambayo Bahati alikuwa
akienda Kahama, Shinyanga kwenye mkutano wa Injili, dereva wa
↧